ebwana kaka katika ulimwengu wa sasa suala la kupata kazi bwana linahitaji vitu kama vifuatavyo kikubwa ni je watu wa aina gani ambao wapo kwenye system tayari ambao wewe unafahamiana nao, kaka ukiwa na watu wazito tu kwenye system basi wewe umeula hata kama haujui kuandika vizuri barua ya maombi,kaka nakuambia hivyo kwa sababu mimi nafahamu watu wengi tu ambao hawana kabisa vigezo vya kifanya kazi fulani lakini unashangaaa wamepata kazi, tena nzuri tu, sasa ukijafuatilia kwa karibu zaidi unakuja kugundua wamewekwa kwenye hizo nafasi. lakini kwa ufupi tu ni kwamba barua ya maombi ya kazi inatakiwa ionyeshe kwa uwazi kabisa uwezo wako wa kufanya kazi yaaani "technical skills of the job" interpersonal skills and these includes self motivation,ability to work in multcultural environment,ability to deliver at maximum capacity, kwa uchache tu kaka hivyo ndivyo vitu vya msingi kabisa vya kuzingatia unapokuwa unaandika barua ya maombi ya kazi,Alamsiki