Hakuna tatizo loloteWakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo?
Kote ina shida hasa kama hukutoa taarifa, Utapuuzwa kwa maana kwamba hutopewa kipaumbele kama Mwanzo sababu uliwapuuza basi wanakuassume kama mpuuzi tu.Wakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo?