Samahani wanajukwaa naomba kuuliza hivi eti inafaa kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafasi wakupangie hapo wakati umesha apply vyuo vengine unasubiri tofauti na hicho??

mbona kama inawezekan kuna rafiki yangu aliapply MUM direct na wakampa majibu wakati uo uo ikawa kazi ya chuo cha Mum kufuatilia Tcu na iv sasa jamaa jina lake lipo miongon mwa wataosoma Mum kesho kutwa
ili nadhan linawezekana ila chuo lazima lipeleke jina lako Tcu