Maombi ya ajira viwandani,ofisini

Maombi ya ajira viwandani,ofisini

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,134
habari wakuu!

kwa jina naitwa adnan nipo dar es salaam,mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu.

lengo kubwa la uzi huu ni kuomba nyinyiwadau wa viwandani au maofisini kunipatia fursa ya ajira kwani nina uhakika naweza kufanya kazi kwa ufasaha.

mimi ni kijana mwenye nidhamu na mwenye kujituma hivo ondoa shaka suala la kinidhamu au uaminifu kwani nakuhakikishia mimi si mtu mwenye tabia mbaya.

Naomba kwa alie tayar anipm kwa maelezo zaidi.

AHSANTENi
 
wadau wameshindwa kutoa msaada kweli hii nchi ya kusadikika
 
kweli mim nilitaka kujua kama kuna watu wanapata kazi kupitia jf kwel
Wapo wengi tu walio pata na kuleta mirejesho humu kipindi cha zaman,sasa hivi watu wakipata wanatulia kimya kimya tu
 
habari wakuu!

kwa jina naitwa adnan nipo dar es salaam,mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu.

lengo kubwa la uzi huu ni kuomba nyinyiwadau wa viwandani au maofisini kunipatia fursa ya ajira kwani nina uhakika naweza kufanya kazi kwa ufasaha.

mimi ni kijana mwenye nidhamu na mwenye kujituma hivo ondoa shaka suala la kinidhamu au uaminifu kwani nakuhakikishia mimi si mtu mwenye tabia mbaya.

Naomba kwa alie tayar anipm kwa maelezo zaidi.

AHSANTENi
Natafuta mtu wa masoko ya bidhaa zangu unaweza?!
 
habari wakuu!

kwa jina naitwa adnan nipo dar es salaam,mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu.

lengo kubwa la uzi huu ni kuomba nyinyiwadau wa viwandani au maofisini kunipatia fursa ya ajira kwani nina uhakika naweza kufanya kazi kwa ufasaha.

mimi ni kijana mwenye nidhamu na mwenye kujituma hivo ondoa shaka suala la kinidhamu au uaminifu kwani nakuhakikishia mimi si mtu mwenye tabia mbaya.

Naomba kwa alie tayar anipm kwa maelezo zaidi.

AHSANTENi
Mkuu jamii forum sio sehem ya msaada siku hizi,humu kazi kubwa ni kukosoa serikali tu.
 
Ajira zenyewe ziko wapi?

Huko maofisini na viwandani watu wanapunguzwa, inakuwa ngumu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom