Two dimension array JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1,591 Reaction score 2,383 Aug 15, 2018 #1 Habari wakuu Kwa anayefahamu kwa mwaka wa masomo 2018/2019 veta wanafungua maombi lini anijuze kuna kijana anataka kwenda huko sasa hatujui kama wameshafungua maombi au bado
Habari wakuu Kwa anayefahamu kwa mwaka wa masomo 2018/2019 veta wanafungua maombi lini anijuze kuna kijana anataka kwenda huko sasa hatujui kama wameshafungua maombi au bado
C computerkiddy JF-Expert Member Joined Oct 1, 2015 Posts 509 Reaction score 544 Aug 15, 2018 #2 habari zote zinapatikana kwenye tovuti yao
M Melkiard Junior Senior Member Joined Aug 12, 2018 Posts 150 Reaction score 79 Aug 16, 2018 #3 veta kufanya nn? ha ha ha
Certified Hater JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 2,038 Reaction score 4,467 Aug 16, 2018 #4 Melkiard Junior said: veta kufanya nn? ha ha ha Click to expand... unaulizaje swali kama hili we mtoto
Melkiard Junior said: veta kufanya nn? ha ha ha Click to expand... unaulizaje swali kama hili we mtoto
M Melkiard Junior Senior Member Joined Aug 12, 2018 Posts 150 Reaction score 79 Aug 16, 2018 #5 Certified Hater said: unaulizaje swali kama hili we mtoto Click to expand... ha ha ha; haya bhana, ngoja nikae kimya kama hamna jibu!!!
Certified Hater said: unaulizaje swali kama hili we mtoto Click to expand... ha ha ha; haya bhana, ngoja nikae kimya kama hamna jibu!!!