Wewe ndiyo unajielewa Sasa. Achana na wanaowaombea watu matatizoAll the best ex wangu. Hukuwa mkamilifu wala mimi sikuwa mkamilifu. Kajaribu bahati yako kwengine
Huu ni ukweli kwa kuandika au kusema lakini utendaji ni mgumu kwa baadhi ya mahusiano.Dua la kuku halimpati mwewe. Ukikuwa utaacha huo ujinga wa kuombea mtu mabaya kisa mlitofautiana kwenye mahusiano.
In the end regardless of what happened sio sawa kumuombea mwenzako mabaya wakati once you were lovers.Huu ni ukweli kwa kuandika au kusema lakini utendaji ni mgumu kwa baadhi ya mahusiano.
Kuna relationships zinaisha vibaya sana hadi you wish bad things zimtembelee, just so you will have the last laugh.
Hiki ni kitu sahihi kufanya. Sahihi kabisa hatupaswi kuwaombea watu mabaya. Lakini kuna mahali unasema "najua hiki sio sahihi lakini acha iwe".In the end regardless of what happened sio sawa kumuombea mwenzako mabaya wakati once you were lovers.
Hata kama huwezi kumuombea mazuri ishia tu hapo hapo. Usiombe chochote kizuri wala kibaya acha atalipwa kwa kadiri ya matendo yake.
Karma is real.
Nilishangaa na hicho kitisho cha Karma mpaka niliposoma hiyo disclaimer hapo chini. I would be surprised a lot. You wishing a karma on anyone. Nooo waaaay. Not the jovial Paula Paul I knowHiki ni kitu sahihi kufanya. Sahihi kabisa hatupaswi kuwaombea watu mabaya. Lakini kuna mahali unasema "najua hiki sio sahihi lakini acha iwe".
Hata hivo kuhusu Ex wangu, I hope karma finds its way to him.
( π Ήππππ Ήπ Ίπ ΄ )
No way? Oh C'mon there has to be!Nilishangaa na hicho kitisho cha Karma mpaka niliposoma hiyo disclaimer hapo chini. I would be surprised a lot. You wishing a karma on anyone. Nooo waaaay. Not the jovial Paula Paul I know
Good wordsIn the end regardless of what happened sio sawa kumuombea mwenzako mabaya wakati once you were lovers.
Hata kama huwezi kumuombea mazuri ishia tu hapo hapo. Usiombe chochote kizuri wala kibaya acha atalipwa kwa kadiri ya matendo yake.
Karma is real.