Maombeni kujua dege letu la AIRBUS A220-300 linatua saa ngapi?

jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,204
1,939
Za asubuhi.
Naombeni kujua dege letu tulilolinunua kwa pesa yetu tena CASH, dege la AIRBUS A220-300 linalotazamiwa kutua leo, tulitegemee saa ngapi?
Leo mtoto hatumwi dukani, watanzania wote tunalisubiri kwa hamu zote dege letu. Naombeni kujua muda wa TOUCH DOWN na wanaanza kurusha matangazo saa ngapi watanzani tulio mbali na Dar na tutaoshindwa kwenda kulipokea angalau tuangalie ktk tv?
 
Mkuu kwa taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika ni kuanzia saa sita mchana usikae mbali na TBCCM...mambo yatakuwa ni mubashara,lije jua ije mvua shughuli lazima itimie...
 
Mkuu kwa taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika ni kuanzia saa sita mchana usikae mbali na TBCCM...mambo yatakuwa ni mubashara,lije jua ije mvua shughuli lazima itimie...
Poa. Nitaangalia kupitia AZAM tv.
 
Nadhani huyu jamaa atakua na eatiba kamili.
Injinia soma hiyo....
IMG_20181223_094629.jpeg
 
Back
Top Bottom