Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 37,026 Reaction score 73,665 Aug 22, 2022 #21 Waminyato said: ajabu yani,Dunia nzima mshambuliaji ni Manzoki tu!?,kama dili lake alisomeki watafute mwingine. Click to expand... Kabisa mkuu
Waminyato said: ajabu yani,Dunia nzima mshambuliaji ni Manzoki tu!?,kama dili lake alisomeki watafute mwingine. Click to expand... Kabisa mkuu
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,559 Reaction score 4,022 Aug 22, 2022 #22 Nani aanze , nani asubiri? Tutaelewana tu safari hii 1.Manula /kakolanya 2.kapombe /mwenda 3Tshabalala / gadiel 4.Inonga /Kenedy 5.Quattara /Onyango 6.kanoute /Mkude 7 Sakho /kibu 8.Chama / Okwa 9.Manzoki /Dejan 10.Phiri /kyombo 11. Okrah/ banda Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nani aanze , nani asubiri? Tutaelewana tu safari hii 1.Manula /kakolanya 2.kapombe /mwenda 3Tshabalala / gadiel 4.Inonga /Kenedy 5.Quattara /Onyango 6.kanoute /Mkude 7 Sakho /kibu 8.Chama / Okwa 9.Manzoki /Dejan 10.Phiri /kyombo 11. Okrah/ banda Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,371 Reaction score 3,670 Aug 22, 2022 #23 Mwishokambi said: Simba imemalizana na Cesar Manzoki na sasa striker huyo ambaye alikuwa akililiwa mno na mashabiki kiasi cha kutaka kusababisha taharuki atavaa uzi mwekundu, ataanza kuonekana dimbani kwenye gemu KMC. Click to expand... TIMU LA MAKELELE NA KUWADANGANYA MAMBUMBUMBU
Mwishokambi said: Simba imemalizana na Cesar Manzoki na sasa striker huyo ambaye alikuwa akililiwa mno na mashabiki kiasi cha kutaka kusababisha taharuki atavaa uzi mwekundu, ataanza kuonekana dimbani kwenye gemu KMC. Click to expand... TIMU LA MAKELELE NA KUWADANGANYA MAMBUMBUMBU
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,788 Reaction score 47,220 Aug 22, 2022 #24 OKW BOBAN SUNZU said: Kama ni kweli basi Simba itakuwa tamu sana. Itakuwa tukifunga goli 3 tunaomba radhi kwa ushindi mwembamba Click to expand... Kama mlivyoomba radhi kwenye Ngao ya Jamii
OKW BOBAN SUNZU said: Kama ni kweli basi Simba itakuwa tamu sana. Itakuwa tukifunga goli 3 tunaomba radhi kwa ushindi mwembamba Click to expand... Kama mlivyoomba radhi kwenye Ngao ya Jamii
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,486 Reaction score 68,288 Aug 22, 2022 #25 Manzoki is Red hata yeye alishakiri hilo, suala la kuonekana uwanjani ni la muda tu, uto msiwe na haraka.
Manzoki is Red hata yeye alishakiri hilo, suala la kuonekana uwanjani ni la muda tu, uto msiwe na haraka.
P pakao JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 381 Reaction score 533 Aug 22, 2022 #26 Mbona unabweka ka umbwa tulia usije ukampa mwl.Luc credit makedonia said: TIMU LA MAKELELE NA KUWADANGANYA MAMBUMBUMBU Click to expand...
Mbona unabweka ka umbwa tulia usije ukampa mwl.Luc credit makedonia said: TIMU LA MAKELELE NA KUWADANGANYA MAMBUMBUMBU Click to expand...