Manzi anakataa zawadi ninazompa

Baharia una haraka sana relax hivi vitu hatutumii nguvu acha nature ifate mkondo wake

Au na ww ulikuwa huna demu sasa umepta wenge limekuwa kubwa
Naona ananipima tu, kwenye mahusiano sijakuwepo kwa muda kidogo.Nikaamua kuzama kwake.Lemme find out my way.
 
Tuzawadi twingine bana ndo maana nilikataa, alafu utanieleza kwa nini umekuja kutangaZa uku jf
 
Tuzawadi twingine bana ndo maana nilikataa, alafu utanieleza kwa nini umekuja kutangaZa uku jf
Si ungechukua tu, mwanzoni naanza kukupa tuzawadi baadaye mizawadi.You won't blame yourself for having me.[emoji3059]
 
Me demu akiingia kwa ghetto kwangu hatoki bila kuvuliwa chupi kubabake..
Ukisikiliza sana maneno yao.. Mara siku nyingine, mara mbona una pupa hvyo, Mara mapema hutombi ng'o alafu anakuchukulia easy sana..
Hivi ni viumbe vya kuishinavyo kwa comand tu
 
Inategemea na mtu mkuu, maana wale wakubwa wanaelewa sana nini wafanye kwa mwanaume wakienda ghetto.Hawa wa 20 sometimes wanazingua kiaina.
 
"Hajapokea zawadi ya mwanaume aliye uchi" ndo mana amekataa.
 
Ukiona roho yako inatamani tamani madenti denti basi ujue una nyota ya kukaa jela.
 
Hebu mwamala wa m-pesa/tigo/Airtel kama 400k, uone kama atarejesha
 
Duh!Sijawahi kumnunulia zawadi akatae,but kila nikimwambia "Kuna kitu nataka kukununulia!" anakataa, anasema "Acha tu, siku nyingine."
Anaepewa zawadi hua haulizwi, eti baby nikununulie zawadi?
We nunua kimya kimya halafu mkabidhi, tena ikiwezekana mpe ikiwa sealed kwenye bahasha kabisa.
 
Anaepewa zawadi hua haulizwi, eti baby nikununulie zawadi?
We nunua kimya kimya halafu mkabidhi, tena ikiwezekana mpe ikiwa sealed kwenye bahasha kabisa.
Umesomeka mkuu,next time nitafanya hivyo.
 
Anaepewa zawadi hua haulizwi, eti baby nikununulie zawadi?
We nunua kimya kimya halafu mkabidhi, tena ikiwezekana mpe ikiwa sealed kwenye bahasha kabisa.
Oops!nje kidogo ya mada.
Hivi zawadi nzuri ya kumpa mtoto wa kike ni ipi mkuu.?
Maana sometimes unaambiwa niletee zawadi unabaki ujui umpelekee nini
 
Poole sana
Jitahidi kumpa mda bado ni mdogo haoni umuhimu wa wewe kumpa kitu lakini mda utafika atahitaji na atapenda sana umpe zawadi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…