GE2025 Manyara: Wajumbe CCM walalamikia namba za wagombea kubadilishwa

GE2025 Manyara: Wajumbe CCM walalamikia namba za wagombea kubadilishwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Wajumbe wa CCM Kata ya Engusero wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamelalamikia kubadilishwa kwa namba za wagombea katika fomu za kupigia kura za maoni, kwa ngazi ya Udiwani hivyo kusababisha mkanganyiko katika upigaji kura.

 
Back
Top Bottom