Manunuzi ya Madaraka:Tuhuma za Rushwa kwa Wabunge/Madiwani

mwanamichakato

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
1,169
1,073
Saa inakuja nayo sasa imefika wengi kujuta kutafuta madaraka ya kisiasa kwa udi na uvuma..

Wengi walikopa ili kupata fedha za kuwawezesha kupata ubunge,udiwani {Kwa marafiki,ndugu,jamaa,majirani,washirika}..

Wengi wameuza mali zao kupata fedha za kununua shahada za kupigia kura/kununua wapiga kura ili wapate madaraka ya kisiasa..

Wengi wametuumiwa kutumia fedha nyingi sana ili kupindua matokeo kuwafanya washindi katika majimbo yao/kata zao...

Wengi wanatuhumiwa kufanya matambiko,kutoa sadaka za kuteketezwa,kulogelezea,kufanya taratibu za kimila ili kushinda uchaguzi na kupata madaraka...
 
Back
Top Bottom