Kama IGP mtarajiwa hii ndio ilikuwa CV yake hapo unategemea nini? Jeshi la Polisi ndio kichaka cha unskilled people.Kwa kauli hii ya Manumba sasa nimeshaamini kumbe Polisi wote nchini ni STD 7!
mpaka sasa hakuna hata mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa kwa mauaji hayo!kwa hilo tu usalama wa Taifa hawana cha kufanya ila kulinda watu na kufanya umbeya tu chondechonde oneni aibu jamani!Katka kile ambacho hata mm ckutarajia kukisikia kutoka kiongozi mkubwa kama Manumba n kauli yake ya jana wakati wa kukumuaga marehem Barlow kua watalipiza kisasi kwa yeyote aliyehusika!....
kama police wataanza kujichukulia sheria mkonon tena kwa kutanganza hadhari kuua raia n dhahiri kua hatuna viongoz wala sheria hazifuatwi tena hapa TZ
Wacha kuropoka wewe, Usalama wa Taifa si kazi yao kukamata watuhumiwa na wala hawahusiki kwa lolote kwenye kupeleleza kifo hiki. siku nyingine kama hujui majukumu ya Usalama wa Taifa ni bora uulize ili uambiwe.mpaka sasa hakuna hata mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa kwa mauaji hayo!kwa hilo tu usalama wa Taifa hawana cha kufanya ila kulinda watu na kufanya umbeya tu chondechonde oneni aibu jamani!
kumbuka hata amri jeshi mkuu katoa kauli kama hiyo pia
Ukweli hatuna viongozi wala watendaji bali tuna kundi la wendawazimu wanaojua kuropoka kila wanapoona hadhira.
Kauli kama hizo katika tukio hili zimetolewa pia na Lukuvi, Nchimbi, Rubani.
Nchi yetu sasa ni ya visasi na sio kufuata sheria tena!!

Watalipiza! Hii kauli sio nzuri! kazi ya polisi ni kulinda raia sio kuwaua! chondechonde Manumba msitumie vitu vizito kwa hao watuhumiwa wa mauaji.
MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Manumba amewataka Polisi kuhakikisha wanalipa kisasi dhidi ya mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow (53).
Akitoa salamu za polisi, wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Barlow, DCI Manumba alisema polisi wamefundishwa kuwa watulivu wakati wa hatari, lakini kwa kifo cha kamanda huyo "wanatakiwa kulipiza kisasi" kwa kuwakamata waliohusika.
MSISOME KICHWA CHA HABARI TU NA KUANZA KUTOA MANENO SOMA HABARI YOOTE NA KUIELEWA,
kamanda anshindwa hata kunusa hatari,cheo chote hicho hakuhisi dalili yeyote maamuma wanapeana vyeo kimaamumamaamuma.Watatuua lakini wao pia tutawaua,jeshi lenyewe dhaifu linazidiwa na sungusungu,kamanda wa polisi eti wa mkoa mwenye dhamana ya ulinzi na usalama mkoa mzima anauawa kizembe namna hii,hakuna cha kisasa wala nini wataua lakini watauawa
neno kulipiza kisasi ni zito sana kaka,ila akili fupi haziwezi kung'amuaHata wewe umesoma mstari mmoja tu huo lol; usijinasibu kwamba ni wewe tu uliyeielewa kauli hiyo kuliko mtu mwingine yoyote!!
When the title of a topic is repugnant no amount of explanation is enough to put it right! the two will remain at variance.
Linganisha kauli za Lukuvi na Ndulile na hiyo ya Manumba uone tofauti! Ujumbe ni ule ule lakini kauli za Ndulile na Lukuvi zimezingatia maudhui ya utawala wa sheria na nguzo muhimu ya kazi za jeshi la polisi; KULINDA MAISHA NA MALI ZA RAIA. Sasa kamanda wa polisi akianza kutoa blanket statements kama kulipiza kisasi raia wa kawaida watakuwa confused na kuogopa, afterall sio kila mtu alikuwapo nyamagana kumsikia live na kuchambua alichomaanisha kumbuka watu wana uwezo tofauti sana katika kuchambua mambo, sio vizuri kiongozi kutii jazba zake, Kiongozi lazima awe makini sana na kauli zake sio kupiga kabla hajalenga. Do not shoot first and take aim later Nops, its vice versa.
Hata wewe umesoma mstari mmoja tu huo lol; usijinasibu kwamba ni wewe tu uliyeielewa kauli hiyo kuliko mtu mwingine yoyote!!