Ukweli hatuna viongozi wala watendaji bali tuna kundi la wendawazimu wanaojua kuropoka kila wanapoona hadhira.
Kauli kama hizo katika tukio hili zimetolewa pia na Lukuvi, Nchimbi, Rubani.
Nchi yetu sasa ni ya visasi na sio kufuata sheria tena!!
Hapana, mimi nimemsikia LIVE. Amesema kuwa polisi "WALIPIZE KISASI KWA KUHAKIKISHA KUWA WANAWAKAMATA WALE WOTE AMBAO WAMEHUSIKA." Tafadhali musim-qupote vibaya.
After all, majeshi yetu yalivyojaa wasomi siku hizi unadhani kuna askari unaweza ukamwambia alipize kisasi na yeye akaondoka kichwa kichwa bila kuhoji kwa nini unamwambia hivyo? Siyo kweli hata kidogo!
Kuna uwezekano mkubwa sana wahusika halisi wasipatikane kabisa, ila raia wengine wasio na hatia watakamatwa na kuuwawa ili ku-sympathy situation.
Omba Mungu atakaye kamatwa usiwe wewe, ndugu yako, rafiki yako au jirani yako.
Wametuua vya kutosha hawa polisi,yaliyotokea kwa barlow ni sauti ya wananchi kuchoshwa na ukatili wa jeshi la polisi,na kibaya zaidi wanatetea serikali ambayo hata wao wenyewe haiwajali,haiji akilini msiba mkubwa kama huu umetokea rais ndo kwanza anaondoka kwenda kupanda farasi oman,hili ni funzo kwa mapolisi kuwa wanayemtetea hana habari nao,endeleeni kujikomba mtapukutika mmoja mmoja mpaka mtakwisha,wananchi wameshaamua
Ukweli hatuna viongozi wala watendaji bali tuna kundi la wendawazimu wanaojua kuropoka kila wanapoona hadhira.
Kauli kama hizo katika tukio hili zimetolewa pia na Lukuvi, Nchimbi, Rubani.
Nchi yetu sasa ni ya visasi na sio kufuata sheria tena!!
Mkuu naomba utumie Avatar mojawapo kati ya hizo mbili, moja ni ya Israel na nyingine ni ya Jerusalem.HAPO UMETELEZA, Msiba mkubwa kwanini? si amekufa polisi yule anae saidi chama fulani kidumu madarakani wakati kinaelekea mochwari kwa tabia mbaya za viongozi wao? makanisa 30 yamechomwa hawajakamata mchomaji hata mmoja!!
Katka kile ambacho hata mm ckutarajia kukisikia kutoka kiongozi mkubwa kama Manumba n kauli yake ya jana wakati wa kukumuaga marehem Barlow kua watalipiza kisasi kwa yeyote aliyehusika!....
kama police wataanza kujichukulia sheria mkonon tena kwa kutanganza hadhari kuua raia n dhahiri kua hatuna viongoz wala sheria hazifuatwi tena hapa TZ