Kisiwa 72 New Member Joined Sep 7, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Sep 12, 2019 #1 Kama nahitaji kuwa mwana hisa kwenye taasisi ya fedha mfano CRDB ni kiasi gani natakiwa kuanza nacho , na hadi kupata gawio inachukua mda gani
Kama nahitaji kuwa mwana hisa kwenye taasisi ya fedha mfano CRDB ni kiasi gani natakiwa kuanza nacho , na hadi kupata gawio inachukua mda gani
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,117 Sep 12, 2019 #2 Watembelee DSE
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,909 Reaction score 13,284 Sep 13, 2019 #3 Kisiwa 72 said: Kama nahitaji kuwa mwana hisa kwenye taasisi ya fedha mfano CRDB ni kiasi gani natakiwa kuanza nacho , na hadi kupata gawio inachukua mda gani Click to expand... Huwa hakuna kiwango maalum Cha mtaji. Kila mtu ananunue kwa kiwango chake Cha mtaji alichonacho. Hao CRDB watapanga bei ya kila hisa moja labda kwa mfano watakwambia kila hisa moja ni sh. 200,Sasa wewe ndio utaamua ununue hisa ngapi kwa idadi.
Kisiwa 72 said: Kama nahitaji kuwa mwana hisa kwenye taasisi ya fedha mfano CRDB ni kiasi gani natakiwa kuanza nacho , na hadi kupata gawio inachukua mda gani Click to expand... Huwa hakuna kiwango maalum Cha mtaji. Kila mtu ananunue kwa kiwango chake Cha mtaji alichonacho. Hao CRDB watapanga bei ya kila hisa moja labda kwa mfano watakwambia kila hisa moja ni sh. 200,Sasa wewe ndio utaamua ununue hisa ngapi kwa idadi.