Sio ml 700 ni ml 250 baada ya kuchenchi dola 110000
Acha uongo, huna luninga kwako? au umekula viroba? taarifa za habari mbona zimeeleza vizuri kama mtoa mada.
Mkuu hio 110,000 ni tshs bei ya chumba sio dollarNani kahesabu zile pesa zaidi ya kuonyesha mabegi
Nani kahesabu zile pesa zaidi ya kuonyesha mabegi
Yule mhasibu alitoa maelezo ya uongo na ya kujikanganya ndo maana hata mwenye hotel alimshtukia ila ukweli ni milioni 700 na usheeeNani kahesabu zile pesa zaidi ya kuonyesha mabegi
Yule dereva aliyebeba zile hela za quality group ambazo mhasibu wa hiyo kampuni amekamatwa nazo ambazo zilikuwa milioni 700, yule dereva anasema alikuwa na manji pamoja na huyo mhasibu! Sasa ningependa nijue hivi manji ni mshirika wa nani katika wale watangaza nia?