Nina uzoefu wa wilaya zote 3 jijini Dar es salaam, cha kushanganza wilaya ya Temeke imejaliwa kutengenezewa lami mpaka mitaani hususani Tandika lakini barabara zao ni vumbi tupo ukilinganisha na wilaya nyingine, yaani hazifagiliwi (maintenance)
Ni kwamba manispaa imelala, viongozi wazembe au inakujae hapa sipati picha, ebu nendeni mkajifunze wilaya ya kinondoni na Ilala japo si sana lakini wanjitahidi kuzifagia ukilinganisha na Temeke.
Wito ;vinongozi wajibikeni ipasavyo ,mkikosa lami tabu aya lami iyo sasa kuitunza tabu, tupewe nini sasa!!