Manispaa ya Kinondoni/magufuli

adobe

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
2,770
Reaction score
1,887
Hawa jamaa wa manispaa/magufuli sijui kwanini wanaacha barabara ya kuanzia mwenge kwenda bunju kuwa chafu namna hii.barabara imejaa michanga na mwisho kunakuwa na mashimo.inaleta hadi kinyaa.tunaomba mkurugenzi wa manispaa/waziri magufuli mpite njia hii mjioneeee ni chafu hasa sehemu ya boko na bunju b
 
Ndo maana nimemjulisha pia pombe magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…