Mji Wa bukoba ulio na watu zaidi ya laki mbili na eneo kubwa lenye makazi ya watu lakini cha kushangaza mji huu hauna route yoyote ya daladala zinazofanya usafiri ndani ya mji mbali na bodaboda,bajaj na taxi ambazo zina tozo kubwa.zamani mji huu ilikuwa na route za daladala hasa kutoka bandarini mpaka rwamishenye.stand rwami nk lakini vilikufa lakini sasa watu wanateseka kusafiri kutoka sehemu moja na nyingine ukizingatia mji huu una milima mingi.mfano toka kahororo km 5.toka kyakairabwa km 6 .toka kyebitembe km7.toka custom km 4.na kutoka kibeta na saut km 10.kutoka nyakato km 10 nk.hivyo watu wanateseka hasa kutembea hadi mji kutoka maeneo haya.tunawakaribisha wote wanaotaka kufanya biashara ya daladala anakaribiswa sana tunazihitaji mno tumechoka na bodaboda!!!
Zilikuwepo ila zilikufa

Ni masikini mno wale jamaa, ungeniuliza mapema wala hata nisingekushauri kwenda kule kwanza huna ukoo kule ...sijui ulifata nini masikini. Yaani mara kumi ungeenda kwenu kule si unajua pako freshi sana, next time uliza kwanzahawana kitu n mbwembwe tu maskini wa kutupwa
Ntaleta hiece yangu huko maana hapa moshi mjin naona zinazngua tuuMji Wa bukoba ulio na watu zaidi ya laki mbili na eneo kubwa lenye makazi ya watu lakini cha kushangaza mji huu hauna route yoyote ya daladala zinazofanya usafiri ndani ya mji mbali na bodaboda,bajaj na taxi ambazo zina tozo kubwa.zamani mji huu ilikuwa na route za daladala hasa kutoka bandarini mpaka rwamishenye.stand rwami nk lakini vilikufa lakini sasa watu wanateseka kusafiri kutoka sehemu moja na nyingine ukizingatia mji huu una milima mingi.mfano toka kahororo km 5.toka kyakairabwa km 6 .toka kyebitembe km7.toka custom km 4.na kutoka kibeta na saut km 10.kutoka nyakato km 10 nk.hivyo watu wanateseka hasa kutembea hadi mji kutoka maeneo haya.tunawakaribisha wote wanaotaka kufanya biashara ya daladala anakaribiswa sana tunazihitaji mno tumechoka na bodaboda!!!
hata stand tu hakuna mweeNi masikini mno wale jamaa, ungeniuliza mapema wala hata nisingekushauri kwenda kule kwanza huna ukoo kule ...sijui ulifata nini masikini. Yaani mara kumi ungeenda kwenu kule si unajua pako freshi sana, next time uliza kwanza
hawa watu n mbwembwe tu kumbe n naskin wa kutishaBK pachovu mno, ukiendekeza kula panzi na chakula chake (ndizi) hata na kichwa chako kinakuwa kinawaza kama panzi mwenyewe. Yaani mji wa watu laki 2 ukose daladala kweli? Wahaya wakija mjini na kuona taa kelele kibao utadhani huko BK ni New York.
Atapanda nani akati kila mtu ana range Rover lakebukoba n kamji ka hovyo kweli mbwembwe zoote kumbe hata daladala hakuna
range river inapotaga kwenye mabarabara ya hovyo?Atapanda nani akati kila mtu ana range Rover lake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]BK pachovu mno, ukiendekeza kula panzi na chakula chake (ndizi) hata na kichwa chako kinakuwa kinawaza kama panzi mwenyewe. Yaani mji wa watu laki 2 ukose daladala kweli? Wahaya wakija mjini na kuona taa kelele kibao utadhani huko BK ni New York.
Atapanda nani akati kila mtu ana range Rover lake