Tehehehehehehe mlizizika makaburi ya wapi?Zilikuwepo ila zilikufa
nilishangaa sana alipokuwa anapambnisha huu uchafu na mji wa moshiHalafu huu ndiyo uji ulikuwa unapambanishwa na Moshi kwa picha za RSA....kumbe hata usafiri wa dala dala hamna....kaazi kweli kweli
hawana kitu n mbwembwe tu maskini wa kutupwaDont tell me! Umaarufu wote wa mkoa huu na watu wake kumbe bado wako very far behind?? Just kidding
hawana kitu n mbwembwe tu maskini wa kutupwaDont tell me! Umaarufu wote wa mkoa huu na watu wake kumbe bado wako very far behind?? Just kidding
wahaya mbwembwe nyingi kumbe Hamna lolote kimji kimechakaaJana kuna eneo niliona mahala n.meya akiitaji usaidizi wa ushauri juu ya masuala kadhaa kwa b.la madiwani, nafikiri ni vizuri pia tukamhoji hata yeye ili atoe majibu ni kwanini katika eneo lake la kiutawala wananchi hawapewi huduma hii muhimu na ya lazima kwao
unataka sisi boda boad tukale wapi mji wa hela kama una piki piki yako yaani ni raha sana si unajua kufa kufaana
Mji Wa bukoba ulio na watu zaidi ya laki mbili na eneo kubwa lenye makazi ya watu lakini cha kushangaza mji huu hauna route yoyote ya daladala zinazofanya usafiri ndani ya mji mbali na bodaboda,bajaj na taxi ambazo zina tozo kubwa.zamani mji huu ilikuwa na route za daladala hasa kutoka bandarini mpaka rwamishenye.stand rwami nk lakini vilikufa lakini sasa watu wanateseka kusafiri kutoka sehemu moja na nyingine ukizingatia mji huu una milima mingi.mfano toka kahororo km 5.toka kyakairabwa km 6 .toka kyebitembe km7.toka custom km 4.na kutoka kibeta na saut km 10.kutoka nyakato km 10 nk.hivyo watu wanateseka hasa kutembea hadi mji kutoka maeneo haya.tunawakaribisha wote wanaotaka kufanya biashara ya daladala anakaribiswa sana tunazihitaji mno tumechoka na bodaboda!!!