Manguli hawa ndio walioigawa CCM

Manguli hawa ndio walioigawa CCM

vonteper

Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
24
Reaction score
9
Wakati ASP NA TANU wanaungana walitengeneza chama kinoja kilichokua na kiongoz mpenda haki baba wa taifa mwalimu jk nyerere
Lakini alikabidhi chama watu wasio weza kusema hapana kuhusu rushwa kwa dhati wanatamaa nyingi na rasilimali za nchi hii

Alio gawana ccm ni maraisi walio fuata kwenye hawamu ya tatu na nne wamekifanya chama kua cha wachache na wenyesauti

Utawaskia wenye share kina kinana wakiiagiza setikali.

Anaekwenda kuizika ccm ni aliye gawa nchi baada yakuona chama hakina tena steki yakugawana..na kufikia hapo tunaweza ona mwanzo mpya wa historia ya tanzania.
 
Chama kilianza kufa wakati wa mwinyi, kikwete ndo akabariki kifo na kusukumizia udongo wa mwisho.
 
Hiki chama tayari ni Marehemu siku nyingi.
Na ndio maana tazama mabango yanayotumika kumnadi yameandikwa chagua Magufuli na sio chagua ccm.
 
jamani kuweni na huruma hata kidogo basi !

Huruma ya nini jama kwa hapa tulipofikishwa? wenzetu wanabeba hela kwenye lumbesa wengine wanakufa kwa kukosa panado? wanajifungulia sakafuni, watoto na mama wanaopoteza maisha kwa kukosa huduma ndo usiseme! Haaa, ndugu yangu huruma tena?
 
Wafie mbali kabisa hawa waingiao madarakani maskini na kutoka matrilionea!!!!!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakati ASP NA TANU wanaungana walitengeneza chama kinoja kilichokua na kiongoz mpenda haki baba wa taifa mwalimu jk nyerere
Lakini alikabidhi chama watu wasio weza kusema hapana kuhusu rushwa kwa dhati wanatamaa nyingi na rasilimali za nchi hii

Alio gawana ccm ni maraisi walio fuata kwenye hawamu ya tatu na nne wamekifanya chama kua cha wachache na wenyesauti

Utawaskia wenye share kina kinana wakiiagiza setikali.

Anaekwenda kuizika ccm ni aliye gawa nchi baada yakuona chama hakina tena steki yakugawana..na kufikia hapo tunaweza ona mwanzo mpya wa historia ya tanzania.

CCM bado ipoipo sana
 
Back
Top Bottom