Umefungiwa wewe usie na shuguli ya kufanya ulitegemea watoke ukaibe kama kawaida yenu.... Hakuna alie kuambia ukaendaniWewe umefungiwa ndani kinyume cha sheria na serikali yako kama kimada, sababu ya mange kimambi. Na kesho JenZiii wanaendelea mtafanywa wanawali mpaka muive ngozi kama waarabu
Umewekwa eda kwa amri ya SimbachaweneUmefungiwa wewe usie na shuguli ya kufanya ulitegemea watoke ukaibe kama kawaida yenu.... Hakuna alie kuambia ukaendani
Ina mkono mrefu kweli maana hata hii Jamiiforums uliyotumia wewe kuleta hiyo taarifa yako pia imepitiwa na mkono wa serikali.Niwakumbushe tu serikali inamkono mrefu,kikowapi mange kimambi anaogopa kupost huko X,ameshapewa onyo kua akileta zake account yake X pia wanapita nayo,
Kwa hiyo wewe umefurahia ufisadi unaoendelea na kina Elvis sio..? Si mchezoNiwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
Ndio maana serikali imefungia pia Jamiiforums ila wewe bado unaendelea kutumia mkuu, unadhani ni kwa nini bado unaendelea kutumia JF?Kwani ujao Kua hata boss wa jf alipokea mrungula??
Huna akili hadi sasa maandamano yamefanikiwa 💯 vyombo vyaulinzi vinaandamana nchi nzima shughuli haziendelei watu wamejifungia majumbani biashara zinefungwa au kwako maandamano ni kuona watu wanauliwa? Unajua hasara nchi inaingia kwakukosa kodi nakuingiza vyombo vya usalama barabarani?Hata jeuri yakukusanyika mbogamboga hamna mtatoboaje hii miaka mitano?Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
Mkono mrefu lakini mkono wa sweta qmmkNi kweli ina mkono mrefu. Lakini inashindwaje kuwapata watekaji na wasiojulikana.?
Umejisahau A.. unatakiwa ikae mwanzo hapo nankiwa ACC... Hahaha kweli wajinga ndiyo waliwao.. tukutanw Rombo kama da wa udongoICC inawasubiri.
Kama ni vijukwaa uchwara angeandika Barua kwenda kwa TRUMP?Kuonyesha kuwa hujielewi umeiweka X kwenye fungu moja na vijukwaa uchwara vya meta!
Huyo dogo anasubilia teuzi tu maana nasikia madogo wengi wa mbogamboga waliwa marinda na wazee wa vetting ili wawaingize kwenye teuziKijana kama wewe ilipaswa uhoji watu wanao tekwa wako wapi Kodi zako zintumikaje n.k
Ni aibu kuwa na vitoto kama hivi
Kwa hiyo kuandika kwake barua kwenda kwa Trump ndiko kumemfanya mtoa mada aandike kuwa watapita na akaunti yake ya X....?!Kama ni vijukwaa uchwara angeandika Barua kwenda kwa TRUMP?
Hii X ambayo mtu mmoja anaweza kuwa na account zaidi ya 10? Au umechaganyikiwa.Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
6 months tena!Yaani Mange aogope kupost🤣
After 6months tutakutana hapa