Fans Mi....
Diamond alikuambia au ulisikia watu wanasema?huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu
Yani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamondHayaa sasa nimeitoa kwa Mange nimekopi ,,, Evelyn Salt
mange ni mtu kama wengine so ana haki ya kuchagua apendacho. as for me.....i vote for davido and flava period.
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu
Ha ha ha nacheka tu as long as bandama nnayo, na ngekua sina ningenunua nyingineUtakua na afya fulani hivi mbayaaa na ngozi imesinyaa na kupauka kwa ajili ya chuki.
umemaliza? leta jipya kumbe hilo tu?Utakua na afya fulani hivi mbayaaa na ngozi imesinyaa na kupauka kwa ajili ya chuki.
Yani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamond
oopppssss "ila kwanini atuache sie wanawake wa Tanzania amchukue mganda?" Ha ha ha sijapenda hiyo ila navote navote navote tu....#kirohombaya
Hayaa sasa nimeitoa kwa Mange nimekopi ,,, Evelyn Salt warumi Heaven on Earth na wengineo binti kiziwi mzurimie mkosafeza matumbo Chinga One
Basi wanaume wa kitz mna roho nzuri kuona wanawake wanachukuliwa na watu wengine mmeuchuna, sie wanawake tuna hasira na roho zinauma hatukubali kwakweli diamond katudhalilisha ha ha ha ha ila kura nampigia kila siku kila dakika #kirohombayaMaisha ndivyo yalivyo! Kuna wanawake wa Kitanzania pia wameacha wanaume watanzania na kuchukuliwa na wa nje!.
Mnaobadilisha mawazo na mnaendelea kushabikia nchi yetu kupeperushwa link hii hapa piga kura mara nyingi inaruhusiwa
http://mama.mtv.com/voting/