BREAKING NEWS
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba,basi la Mohamed Trans lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza likiwa na abiria 65,majira ya saa nane mchana lilisimama maeneo ya Gairo na abiria wote kupata chakula cha mchana kisha wakaendelea na safari.