Manesi/madaktari orodha hatarishi sana katika maambukizi ya UKIMWI

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,388
Habari za usiku huu,

Awali tulizoea wanajeshi ndio wanaoongoza kwa umalaya sana (kwa wale wanao kaa kambini mnanipata) kwa sifa walizo nazo wanajeshi mpaka inafikia ukikuza mtoto akimaliza la 7 tu unajipiga umpeleke bording ili asiharibiwe na wanajeshi. Kiukweli unform za jeshi ilifikia pahala wakipita wananyooshewa vidole sambaza UKIMWI.

Ajabu kwa sasaivi madaktari wameshika namba tena kwa kasi haohao wanahubiri tutumie kinga kuepuka UKIMWI ila wao ndio wanaousambaza (wanao) sema tu wanajua kujitunza kiasi huezi amini kama UKIMWI utatokea kwao hii ni kutokaba na professional yao hasa usafi wa mwili.

Mfano mzuri kuna hospitali moja binafsi inaajiri wadada wazuriwazuri sana hawajaolewa na wakaka ni wazuri wengine hadi wanavaa cheni wote weupe ukiwa night na mgonjwa unayoyaona ni aibu bahatika ukatize chooni unawaona sasa zile nguo nyeupe gizani hazifichiki.

Kiukweli madaktari/manesi fani hii mnatutibu ila imani imetutoka kila tukiona hizo sare.

Mbadirike japo ukweli mchungu.
 
Ebu towa maelezo ya kina kwa maswali haya 1. Je huwa wanafanyana wao kwa wao au ni kwa madaktari kwa wagonjwa.
2. Umeshuhudia tukio hilo kwa hospitali binafsi au yaserikali.
3. Umewahi kushuhudia matukio kama hayo mara ngapi.
Karibu kwa majibu yako ningojea mdogo wangu
 
Kuna Kazi Za Watu Inatakiwa Wapewa Heshima Zao,hasa Hao Uliowataja Jamani Khaa Kuna
1.Mamangu Alikuwa Na Kansa Ya Koo Kila Nkikumbuka Lile Lijidonda Nasema Hao Watu Heshima Kwao
2.embu Niambie Wanapozalisha Mtu Anashuhudia Inapanuka Mpaka Mtoto Anatoka Khaa Na Akitoka Hapo Anaenda Kutyomba Tu
3.kuna Mwingine Nurse Anazalisha Wanawake Ili Hali Yeye Mayai Yote Yalishatolewa(hawezi Kuzaa Tena fikiria huyu yupo kwa hali gani na family zetu za kiswahili anavyosakamwa
4.embu nenda pale Ocean Road Japo Kwa Dakika 5 Uone Umuhimu
5.Dr Yupo Mapumziko Nyumbani Ndo Anaamka Kupata Chai,mtu Anagonga Mlango Kiguu Kinaning'inia Hana Hata Sh Mia Inabidi Aache Kila Kitu Ampe Huduma Ya Kwanza (hapa Mda Wote Wapo Kazini
6.Daktari Bingwa Wa Uzazi Wa Kinamama Ila Yeye Mpaka Anazeeka Hana Mtoto

7.Ndio Watu Pekee Tunaowatafuta Tukiwa Na Matatizo Tu Kwenye Bia Na Kuchoma Nyama Tunawasahau
(kwa Kweli Waacheni Tu Wadinye,wadinywe Na Kuwanyima Hao K Na Mb.. Ni Dhambi )
 
Ha Ha Ha Kudinywa Na Daktari Raha Sana,hana Kinyaa Yule Anaipangusa Mgodi ,anaisasambua Rabia Majora Hatari,
Uje Kwa Nesi Sasa Anajua Masaji,kubembeleza Hatari,hasira Pembeni,(nimepita Kwa Kunyata)
 
a
Mleta Post Habari Za Leo?Embu Niambie Research Yako Ulifanyia Wapi?Je Gvt Hospitals Au Privates?Hospital Zipi?,
siejua maana haambiwi maana. ukisikia jambo ukajifunze huko kitaani kwa vitendo usipende kuletewa utafuniwe mpaka umezeshwe.
 
Kutyomba hakuna professional acha kuharibu CV za watu hata wauza machicha wanatyombana sana tu

bora umepita unanyata,maana huo mkia ungetikisika tungepata mfazaiko
wewe Utakuwa Kwenu Kule Anapotoka Kiongozi Wa Upinzani Maana Kule Hakunaga Chura Wanawake Wote Shape Za Samaki,ndo Maana Umeshtuka Na Kijikia Changu(maarufu Flat Amaizing) Sogea Sogea Hapa Kinondoni Uje Uone Mizigo Ya Maana,acha Kukaa Mlimani
 
s
Ebu towa maelezo ya kina kwa maswali haya 1. Je huwa wanafanyana wao kwa wao au ni kwa madaktari kwa wagonjwa.
2. Umeshuhudia tukio hilo kwa hospitali binafsi au yaserikali.
3. Umewahi kushuhudia matukio kama hayo mara ngapi.
Karibu kwa majibu yako ningojea mdogo wangu
ijaja kutaja au kuwataja watu fanya research na wewe mada nimeshaiweka.
 
Kuna Kazi Za Watu Inatakiwa Wapewa Heshima Zao,hasa Hao Uliowataja Jamani Khaa Kuna
1.Mamangu Alikuwa Na Kansa Ya Koo Kila Nkikumbuka Lile Lijidonda Nasema Hao Watu Heshima Kwao
2.embu Niambie Wanapozalisha Mtu Anashuhudia Inapanuka Mpaka Mtoto Anatoka Khaa Na Akitoka Hapo Anaenda Kutyomba Tu
3.kuna Mwingine Nurse Anazalisha Wanawake Ili Hali Yeye Mayai Yote Yalishatolewa(hawezi Kuzaa Tena fikiria huyu yupo kwa hali gani na family zetu za kiswahili anavyosakamwa
4.embu nenda pale Ocean Road Japo Kwa Dakika 5 Uone Umuhimu
5.Dr Yupo Mapumziko Nyumbani Ndo Anaamka Kupata Chai,mtu Anagonga Mlango Kiguu Kinaning'inia Hana Hata Sh Mia Inabidi Aache Kila Kitu Ampe Huduma Ya Kwanza (hapa Mda Wote Wapo Kazini
6.Daktari Bingwa Wa Uzazi Wa Kinamama Ila Yeye Mpaka Anazeeka Hana Mtoto

7.Ndio Watu Pekee Tunaowatafuta Tukiwa Na Matatizo Tu Kwenye Bia Na Kuchoma Nyama Tunawasahau
(kwa Kweli Waacheni Tu Wadinye,wadinywe Na Kuwanyima Hao K Na Mb.. Ni Dhambi )
hizo sio sababu za kukufanya uogope kuuanika uovu wa baadhi ya madaktari na manesi.

hiyo ni kazi yao na ni wajibu wao kama alivomjenzi, mjiolojist, mkulima n.k

sababu ya mtu kuwa na hadhi kubwa huku akiwakandamiza kwa aina yake ndiyo iliyopelekea mkaandamana mitandqoni badala ya ikulu..

sijakulazimu uamini nilichoandika.
 
Nimeandika Hayo Kukumbusha Umuhimu Wao Kwetu
hizo sio sababu za kukufanya uogope kuuanika uovu wa baadhi ya madaktari na manesi.

hiyo ni kazi yao na ni wajibu wao kama alivomjenzi, mjiolojist, mkulima n.k

sababu ya mtu kuwa na hadhi kubwa huku akiwakandamiza kwa aina yake ndiyo iliyopelekea mkaandamana mitandqoni badala ya ikulu..

sijakulazimu uamini nilichoandika.
hivi Wewe Umejielewa?Embu Tuambie Mkoa Gani,wilaya Hospital Private Au Gvt Ulikuta Hayo?Unafahamu Kuwa Kuwa Huo Usiku Unaodai Yanatendeka Hayo Kuna Matron Au Patron Anazunguka?Hivi Unajua Mada Yako Imekuja Kwa Ajili Ya Kuchafua Si Kutuonesha Huo Uchafu Unaodai?Na Huo Ukimwi Wanaoambukiza Uliwapimaje?
Dada Kama Umeachwa Achika Tu Kiroho Safi Siyo Unachafua Fani Za Watu Au Kama Unao Ule Ugonjwa Wetu Unahisi Umeambukizwa Na Dr Usijali Omba Cancelling Utakuwa Upo Kwa Denial Stage
 
habari za usiku huu.

awali tulizoea wanajeshi ndio wanaoongoza kwa umalaya sana ( kwa wale wanao kaa kambini mnanipata) kwa sifa walizo nazo wanajeshi mpaka inafikia ukikuza mtoto akimaliza la 7 tu unajipiga umpeleke bording ili asiharibiwe na wanajeshi. kiukweli unform za jeshi ilifikia pahala wakipita wananyooshewa vidole sambaza ukimwi.

ajabu kwa sasaivi madaktari wameshika namba tena kwa kasi haohao wanahubiri tutumie kinga kuepuka ukimwi ila wao ndio wanaousambaza (wanao) sema tu wanajua kujitunza kiasi huezi amini kama ukimwi utatokea kwao hii ni kutokaba na professional yao hasa usafi wa mwili.

mfano mzuri kuna hospital moja binafsi inaajiri wadada wazuriwazuri sanaa hawajaolewa na wakaka ni wazuri wengine hadi wanavaq cheni woote weupeee ukiwa night na mgonjwa unayo yaona ni aibu bahatika ukatize chooni unawaona sasa zile nguo nyeupe gizani hazifichiki. kiukweli madaktari /manesi fani hii mnatutibu ila imani imetutoka kila tukiona hizo sare.

mbadirike japo ukweli mchungu.
Kokajoe ulale
 
Kuna Kazi Za Watu Inatakiwa Wapewa Heshima Zao,hasa Hao Uliowataja Jamani Khaa Kuna
1.Mamangu Alikuwa Na Kansa Ya Koo Kila Nkikumbuka Lile Lijidonda Nasema Hao Watu Heshima Kwao
2.embu Niambie Wanapozalisha Mtu Anashuhudia Inapanuka Mpaka Mtoto Anatoka Khaa Na Akitoka Hapo Anaenda Kutyomba Tu
3.kuna Mwingine Nurse Anazalisha Wanawake Ili Hali Yeye Mayai Yote Yalishatolewa(hawezi Kuzaa Tena fikiria huyu yupo kwa hali gani na family zetu za kiswahili anavyosakamwa
4.embu nenda pale Ocean Road Japo Kwa Dakika 5 Uone Umuhimu
5.Dr Yupo Mapumziko Nyumbani Ndo Anaamka Kupata Chai,mtu Anagonga Mlango Kiguu Kinaning'inia Hana Hata Sh Mia Inabidi Aache Kila Kitu Ampe Huduma Ya Kwanza (hapa Mda Wote Wapo Kazini
6.Daktari Bingwa Wa Uzazi Wa Kinamama Ila Yeye Mpaka Anazeeka Hana Mtoto

7.Ndio Watu Pekee Tunaowatafuta Tukiwa Na Matatizo Tu Kwenye Bia Na Kuchoma Nyama Tunawasahau
(kwa Kweli Waacheni Tu Wadinye,wadinywe Na Kuwanyima Hao K Na Mb.. Ni Dhambi )
[emoji122][emoji122][emoji122]
Asante kwa niaba.[emoji4]
 
Nimeandika Hayo Kukumbusha Umuhimu Wao Kwetuhivi Wewe Umejielewa?Embu Tuambie Mkoa Gani,wilaya Hospital Private Au Gvt Ulikuta Hayo?Unafahamu Kuwa Kuwa Huo Usiku Unaodai Yanatendeka Hayo Kuna Matron Au Patron Anazunguka?Hivi Unajua Mada Yako Imekuja Kwa Ajili Ya Kuchafua Si Kutuonesha Huo Uchafu Unaodai?Na Huo Ukimwi Wanaoambukiza Uliwapimaje?
Dada Kama Umeachwa Achika Tu Kiroho Safi Siyo Unachafua Fani Za Watu Au Kama Unao Ule Ugonjwa Wetu Unahisi Umeambukizwa Na Dr Usijali Omba Cancelling Utakuwa Upo Kwa Denial Stage
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Achane wale tu kaz zao ngumu,
Ni kama maaskari acheni wale tu kaz zao ngumu,
Acheni warfresh mind, kaz zao zinawaharibu kisaikolojia
Mwanajeshi ame sign kufa, kuua
Doctor anakumbana na vidonda, maiti, damu ya binadamu kila SAA,
Hivyo wanapopata nafasi wacheni wajivinjari
 
Kuna Kazi Za Watu Inatakiwa Wapewa Heshima Zao,hasa Hao Uliowataja Jamani Khaa Kuna
1.Mamangu Alikuwa Na Kansa Ya Koo Kila Nkikumbuka Lile Lijidonda Nasema Hao Watu Heshima Kwao
2.embu Niambie Wanapozalisha Mtu Anashuhudia Inapanuka Mpaka Mtoto Anatoka Khaa Na Akitoka Hapo Anaenda Kutyomba Tu
3.kuna Mwingine Nurse Anazalisha Wanawake Ili Hali Yeye Mayai Yote Yalishatolewa(hawezi Kuzaa Tena fikiria huyu yupo kwa hali gani na family zetu za kiswahili anavyosakamwa
4.embu nenda pale Ocean Road Japo Kwa Dakika 5 Uone Umuhimu
5.Dr Yupo Mapumziko Nyumbani Ndo Anaamka Kupata Chai,mtu Anagonga Mlango Kiguu Kinaning'inia Hana Hata Sh Mia Inabidi Aache Kila Kitu Ampe Huduma Ya Kwanza (hapa Mda Wote Wapo Kazini
6.Daktari Bingwa Wa Uzazi Wa Kinamama Ila Yeye Mpaka Anazeeka Hana Mtoto

7.Ndio Watu Pekee Tunaowatafuta Tukiwa Na Matatizo Tu Kwenye Bia Na Kuchoma Nyama Tunawasahau
(kwa Kweli Waacheni Tu Wadinye,wadinywe Na Kuwanyima Hao K Na Mb.. Ni Dhambi )
Sawa!!, lkn jamaa hana nia mbaya nao, ni kama anawashauri kuwa hako katabia sio kazuri. Kwani mtu akiwa wa muhimu ndo hawezi kukosolewa?.
 
Back
Top Bottom