Maneno yanayoweza kukufanya upambane zaidi au kukukatisha tamaa....

google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
9,629
13,694
Habari GT, unajua katika haya maisha kuna vijimaneno maneno vidogo vinaweza kukufanya upambane au uwe boya tu. Nitatoa mfano ili tutiririke na sisi,
Sio wewe tu....
Hii sentence kama ulikuwa umepigika huna pesa unakutana na mwana anakwambia sio wewe tu hana mimi sina.
2. Hata ukitoka kupima ukawa na HIV + nurse atakwambia sio wewe tu umepata maambukizi wako wengi. Tiririka na wewe .....
 
Watanzania wengi hatutunzi kwa sababu tunzmazopata hazitoshi. Umaarufu sio sababu. Kila hela ambayo watz wengi zinaenda kutumika. Sio kutumika vibaya bali zinatumika vizuri tu.
Mtu akipata hela yake anakimbilia kununua kiwanja ujenzi unaanza, ataunza hela lini.
Mfano halisi ni huu. Kwa ukubwa wa ile nyumba ya Joti, atatunza hela saa ngapi. Akii.aliza anaweza kukosa hata hela ya kununua luku.
 
Back
Top Bottom