SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Mara nyingi katika hotuba zake ukizifatilia utokosa kusikia hakizishutumu story za mitandaoni.nimewahi kushudia akimpa kipaza sauti mmoja wa wateuzi wake ili aseme maneno machache ikiwa ni kijembe cha maneno ya. Mitandaoni walosema kuwa mteuliwa huyo asingejitokeza siku ya kula kiapo.
Naomba tusaidiane wakuu je ajawahi kweli kusikia kelele zinazopazwa huku mitandaoni takribani miezi sita Sasa kuhusiana na kupotea kwa mwananchi wake mmoja ambayo upoteaji wake umewaacha watu na mashaka,kipi kinafanya ukimya uwe mwingi wakati maneno mengine ya mtandaoni amekuwa akiyajibuu kadri awezavyo.Nina imani hasa kipindi hiki miezi imepita angalau angeongelea kilio hiki cha mitandaoni