ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 668
- 426
" Watu wanasema mimi ni Mgonjwa, lakini wakumbuke kuwa Suala la ugonjwa au uzima lipo mikononi mwa Mungu, Nawapa Hongera wale wanaojiona wana Afya njema, lakini wakumbuke kuwa na Afya njema ni mpango wa Mungu. Waweza leo ukawa na Afya Njema, lakini kesho ukawa Mgonjwa. Toka Mwanzo nilishasema Pale Jangwani wakati tunaanza kampeni kwamba Sitatumia hata tusi moja Kwenye kampeni, nitafanya kampeni za Busara. na tutachukua Nchi kwa Amani. Kuna Baadhi ya wagombea ambo wapo Vyama Vingine Ukiacha ukawa, ambao Tutakapochukua Nchi itabidi tuwachukue nao ili waje kusaidia Kuwaletea Watanzania maendeleo ya Kweli, sasa Leo tukiwatukana ,na siku tukiwachukua Tutashindwa kueleweka kwa Wanaanchi. Tutachukua Nchi kwa Amani, bila tatizo lolote."
haya ni maneno ya Busara ya Mzee wetu Lowasa ambaye alisema akiwa kwenye kampeni jimbo la Vunjo na Hai.
haya ni maneno ya Busara ya Mzee wetu Lowasa ambaye alisema akiwa kwenye kampeni jimbo la Vunjo na Hai.