Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
Si wamesema amehamia kwenye ubwabwa!Hapa Mbowe anaelezea jinsi ilivyo ngumu kuisambaratisha CHADEMA kama ilivyokuwa rahisi Kwa NCCR - Mageuzi
Aliongea zamani sana akiwa mwenyekiti sio sasa hiviSi wamesema amehamia kwenye ubwabwa!
Mbowe ni msanii tuu na ni tawi la ccmNajua watu wa Lumumba mtachangia huu Uzi bila ya kuangalia hii "clip" kwa kuwa hamna bando.
Hapa Mbowe anaelezea jinsi ilivyo ngumu kuisambaratisha CHADEMA kama ilivyokuwa rahisi Kwa NCCR - Mageuzi
View attachment 3334462
G55 na CCM sikilizeni maneno kuntu ya Mbowe
cc Mrema RuzukuNajua watu wa Lumumba mtachangia huu Uzi bila ya kuangalia hii "clip" kwa kuwa hamna bando.
Hapa Mbowe anaelezea jinsi ilivyo ngumu kuisambaratisha CHADEMA kama ilivyokuwa rahisi Kwa NCCR - Mageuzi
View attachment 3334462
G55 na CCM sikilizeni maneno kuntu ya Mbowe
Maneno yake umeyaonaje lakini? Halafu haya maneno siyo zamani Sana. Ni ya January 2025.Aliongea zamani sana akiwa mwenyekiti sio sasa hivi
Huamini au unataka kusemaje kwaniKasema lini hii?
Hapo Sasa. Yawe ya Leo au ya mwaka 2004 bado ni maneno yake!Huamini au unataka kusemaje kwani
Mwanasiasa si kiumbe wa kumuamini hata kwa asilimia chache mkuu.Maneno yake umeyaonaje lakini? Halafu haya maneno siyo zamani Sana. Ni ya January 2025.
wana backup ya mfumo. ila pesa walizopewa zitageuka kuwa laana kubwa kwao kwa sababu mahosipitalini watu wanakufa kwa kukosa pesa za kupata matibabu, wanakosa dawa, vijijini watu wanakunywa maji sehemu moja na mifugo, ajali kila leo kutokana na barabara mbovu, ... kila tabu!!!!!Njaa55 muda siyo mrefu watasambaratika
Ni watu wa hovyo snwana backup ya mfumo. ila pesa walizopewa zitageuka juwa laana kubwa kwao kwa sababu mahosipitalini watu wanakufa kwa kukosa pesa za kupata matibabu, wanakosa dawa, vijijini watu wanakunywa maji sehemu moja na mifugo, ... kila tabu!!!!!
Tunaangalia uzito wa hoja ya Mbowe kuhusu CDM,hatuangalii alitamka lini. Na huo utabaki kuwa ukweli.Hapo Sasa. Yawe ya Leo au ya mwaka 2004 bado ni maneno yake!