nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 940
Kivipi?, fafanua tuelimikeMagazeti yake ndio yanatesa nchi
"Tunachagua kama Vipofu, kisha tunalalama kama vichaa.
Sasa tuamue: ama tuchague viongozi wetu kwa umakini au tukae kimya wakati wakitunyanyasa.
Wachagua hovyo, wasiwe wasema ovyo wakitendewa ovyo."
-Jenerali Ulimwengu-
Ninavyomsoma Mimi Ni kwamba anamkubali Magu bila CCM, ila Magu ndani ya CCM anaamini " business as usual". Kigezo:- katiba pendekezwa vs. rasimu ya Wariobamuanga wa watawala wa nchi hii huyo, mpak leo simwelew anakumbar magu au la?
Kwa nini mkuu?.Heeeeeeeeeeeeeeh, ningekuwa mimi ndiye YEYE nisinge-comment chochote...
Let there be victors without victims, basi.Is he a victim...Jenerali..who is complaining when and why?? Let's see the game on...
Kwa nini mkuu?.
Sio kweli mkuu!, maandiko yake yake yalibalance Sana, ila sema wale waandishi wenzake andamizi ndio walifanya Hilo unaloliseamaMnafiki mkubwa huyu jamaa....aliuponda sana UKAWA
Si angekuwa anawashauri watu wampigie kura Hashimmm Rungwee
Gazeti lilibadilika kwa sababu waandishi wenzake waliokuwa wana-ACT walipata fursa ya malipizi, pia kulikuwa na uvamizi wa waandishi wapya akiwemo dc polepole kuchafua hali ya hewa, lakini Jenerali Na yule A. Rajab (anayeandika masuala ya Zanzibar), walibaki kwenye mstari Wao!.Huyu ndugu yamemkuta nini, alitunyanyasa UKAWA kipindi cha uchaguzi mkuu nikaacha kununua vigazeti vyake, wimbo wa kuisoma namba unatamba sasa pamoja najuwa njaa kwake nisawa na mbingu na jua