Maneno haya yanaanza kutimia?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,312
152,112
Kuna mh.mmoja aliwahi sema:"Ni rahisi kuwafukuza kwasababu hakuwateu yeye".

Je,aliowateua yeye ndio wameanza kumshinda?
 
Salary Slip amesema Mafisadi wakimshinda asiitwe Rais naona wameshamshinda.Maana wamedhibiti Meya na sasa Waziri wake huyooooo kama.namuona Ikulu.Na hatakumfukuza hatathubutu
 
This is a real taste! Time brigtly show a fracture too ealy - within a 'probation period'.
 
Salary Slip amesema Mafisadi wakimshinda asiitwe Rais naona wameshamshinda.Maana wamedhibiti Meya na sasa Waziri wake huyooooo kama.namuona Ikulu.Na hatakumfukuza hatathubutu
Ayi Kwei Armah aliwahi kutoa kitabu kiitwacho " The Beatyful Ones Are Not Yet Born" na sasa naanza kuamini.
 
Serikali inaendeshwa kwa mizuka kama ya kina Jenista Mhagama,Shitindi na Omben sefue.

In Classical Literatures Heroes also dies...

Yetu macho.
Mh ahlan wahsalan, njalie hapo mikinda.
Ni muda kitambo, kwema!

Salary Slip kama utakumbuka tulionya mapema sana! Tulisema huwezi kupanda mbegu za mahindi ukatagemea kupata mhogo!
 
Serikali inaendeshwa kwa mizuka kama ya kina Jenista Mhagama,Shitindi na Omben sefue.

In Classical Literatures Heroes also dies...

Yetu macho.

Dau ameniuma sana japo ndo hivyo...

Mwingine alikuwaga Dr. Idriss Rashid huyu baba aliinyoosha TANESCO angekuwepo naamini TANESCO isingekua hivi....

Yote maisha... Tunashukuru yanaendelea....

Muda si muda kuku watarejea kwenye viota vyao...
 
Kama hatua zisipo chukuliwa aseee imani na chama kwa upande wangu itakuwa ndogo sana
 
Bila kujali itikadi, tukubaliane hukumu ya Lowassa iwe hiyo hiyo kwa January.
 
Back
Top Bottom