VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hicho ni kiswahili, unataka watanzania tuongelee lugha za makaila yetu nini?Ni maneno yanayoudhi. Ni yanayoonesha kutojali na kutowajibika hasa pale panapokosekana Takwimu. Yapigwe vita. Maneno yenyewe ni haya:
1. 'wapatao'
2. 'takribani'
Ukiweza ongeza mengine. Ni maneno ya maangamizi.Yanabeba uzembe uliopita kiasi kwa kutapatapa baada ya kukosa takwimu za wahanga wa ajali mbalimbali kama za moto,magari,meli,boti,mitumbwi na hata mabomu.
Kuanzia sasa,kama unaweza, mnase kibao yeyote atakayetumia maneno hayo.Nitakutetea bila malipo.Tuatakuwa tumefikisha ujumbe wetu. Yakome maneno haya...
inteligensiaNi maneno yanayoudhi. Ni yanayoonesha kutojali na kutowajibika hasa pale panapokosekana Takwimu. Yapigwe vita. Maneno yenyewe ni haya:
1. 'wapatao'
2. 'takribani'
Ukiweza ongeza mengine. Ni maneno ya maangamizi.Yanabeba uzembe uliopita kiasi kwa kutapatapa baada ya kukosa takwimu za wahanga wa ajali mbalimbali kama za moto,magari,meli,boti,mitumbwi na hata mabomu.
Kuanzia sasa,kama unaweza, mnase kibao yeyote atakayetumia maneno hayo.Nitakutetea bila malipo.Tuatakuwa tumefikisha ujumbe wetu. Yakome maneno haya...
Mpango Endelevu
Mkurabita
Mkukuta
Mikakati
Uvunjifu wa amani
Nchi haitatawalika
Kilimo kwanza
Power tillers
Wakiwezeshwa wanaweza!
Tuwalambe, Tusiwalambe?
waliokufa ni 12 halafu hawasemi waliopona niwangapi kati ya watu 250 huu ni ujinga mkubwa sana!