Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,905
- 18,871
Habarini. Asili ya haya maneno Bunju na Mikocheni ni nini? Yana maana gani?
Shukrani sanaBunju jina la kijiji.
Mikocheni......kwa mujibu wa story yako ni palipo na mikoche. Sawa na kusema Miembeni (kwenye miembe).
Mikoche ni miti pori inafanana na minazi. Inatoa matunda yanaitwa makoche yapo kama nazi ila yenyewe ni madogo. Yana kifuu kigumu sana kuliko nazi.