Maneno 15 yanayotumika sana kwenye Korea Drama

Komasmitaa-thank u, asante

Komasmita komao-asante kushukuru

Hyungnim-heshima kwa mtoto wa kiume km kaka japo anaweza asiee ndugu yako

Horabunyee-brother , kaka

Kamchupirimita-hongera

Pehaa-mfalme

Puii-kiongozi wa kike au niseme malkia ila sio kwa kuolewa kibongobongo km mama Samia

Ankoraa-kaa chini ,keti

Aghasheee-mdada mwenye kaheshima fulani
 
Ajjuss ni nini
 
Ase mkuu napenda sana nyimbo zao zinazopigagwa ktk seriz zao kama hutojali nifahamishe jinc ya kuzipata
 
Hii nyama jaiva(ukitamka kwa haraka bila kukaza maneno) = Ndio ujinga gani huu uliotekea
Ashe = Miss
Jumong = Bingwa wa kupiga mishale
 
Changun- General wa kivita.

Shibhaa- Fu*ck

Ne Pyungah - It's raining

Arraso - okay

Pamsee- Night

Natoo - You too

Chilundah - coming in

Bhichinya - bitch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…