Manchester utd na simba sc kwa afya bora.

Manchester utd na simba sc kwa afya bora.

Mr Ambassador

Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
13
Reaction score
2
INASHAURIWA NA WATAALAMU WA AFYA USIPENDE KUUTESA MOYO WAKO SABABU UPO DELICATE HUCHELEWI KUZIMA GHAFLA!!! HIVYO INASHAURIWA KUIPENDA MAMNCHESTER NA SIMBA KWA AFYA BORA. RED ARMY :bange:​
 
Ni kweli kabisa ukichukulia hizi team zinafanana namna zinavyovuna matokeo yao,kwa kubebwa!!
 
Ni kweli kabisa ukichukulia hizi team zinafanana namna zinavyovuna matokeo yao,kwa kubebwa!!

Na raha ya kubeba umbebe anayebebeka! Simba na Man U kwa afya.
 
Back
Top Bottom