Manchester united kuvunja ukimya leo

Gagso

Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
58
Reaction score
3
Alex amaliza ukmya kwa watu leo wanaosema kuwa man utd ana uwezo wa kumfunga man ctiy,na hapo ndio ata tangaza kuchuwa ubingwa,wale wote wamashabiki wa ukweli wa man utd.matokeo ni kama hivi yatakavyokuwa man utd 2 na man ctiy 0?mfungaji hatakuwa yule kipenzi cha watu ni rooney?
 

Pole sana mkuu! Mambo hayakuwa hivyo!

 

Pole Mkuu Gagso. Mambo ya Soccer hayo!
 
endelea kubet tu utafanikiwa siku moja..
 
Vicent Kompany. Bichwa baya na hilo hilo ndo kalitumia kutupia bao. Wallah namheshimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…