Naona kama vile umepanic 😂😂 😂Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Ficha upumbavu wako.UONGO [emoji23][emoji23]
Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..
Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.
Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?
𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..
Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)
Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Yani manara na utopolo sijui akili za kawaida watazipata lini. Udhamini ni wa kila mwaka, simba ambapo ukiangalia wastani kila mwaka simba atapata 5.2b. Na katika mkataba huo wameona uwe wa miaka 5, wangeweza kuufanya hata miaka 10 (yaani iwe 5.2b*10=52b. Yani hakuna namna yoyote hiyo hela ya udhamini isizidi thamani ya club katika hiyo miaka ya udhamini. Pia mwambieni manara kuwa huyo ni mdhamini mmoja tu, ukiunganisha wafhamini wote inaweza fika >40b.UONGO [emoji23][emoji23]
Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..
Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.
Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?
𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..
Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)
Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Mkuu....huamini kuwa Simba tumepigwa Kitu kizitoMuulize huyo popoma mwingine, ni sharti gani linalozuia mdhamini asizidi thamani ya klabu?
Haoni hiyo ni mikataba miwili tofauti, inayokuwa na terms tofauti, kwa malengo tofauti?
Mwambie atumikie adhabu yake, mambo mengine yamemzidi kipimo.