Poise JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 7,659 Reaction score 7,948 Aug 2, 2017 #21 Pesa mbele , Yesu Kristo kawekwa nyuma. Ndiyo, mtakoma wote kwani nani aliyewatuma msijifunze kujiombea!?.
Pesa mbele , Yesu Kristo kawekwa nyuma. Ndiyo, mtakoma wote kwani nani aliyewatuma msijifunze kujiombea!?.
M Mpucha JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 1,274 Reaction score 1,672 Aug 2, 2017 #22 Nyemanze said: KWANN mkuu Click to expand... Masuala ya imani ni magumu sana, ww amini kwa upande wako na waache wengine waamini kwa upande wao,Dini ni mapokeo toka kwa waarabu na wazungu ambao ndio haohao walikuja kututawala.
Nyemanze said: KWANN mkuu Click to expand... Masuala ya imani ni magumu sana, ww amini kwa upande wako na waache wengine waamini kwa upande wao,Dini ni mapokeo toka kwa waarabu na wazungu ambao ndio haohao walikuja kututawala.