Mambo ya kaisali muachie kaisali kwenye na yamungu tufate Mimi na weweNimekuwa nikifuatilia mahubiri ya Manabii lakini kila wakihubiri wanatanguliza pesa ya kutoa sadaka au ujenzi wa Makanisa yao. Mfano pale Mwanza mwezi mmoja uliopita kuna Mhubiri alikuwa na mahubiri uwanja wa Kirumba, sharti alilolitoa ni kuwa ili uombewe kama una matatizo lazima utoe laki moja. Sisi wote tunasoma Biblia wapi pameandikwa ili upate huduma ya maombi sharti utoe pesa?. Ninyi Manabii tuogopeni Mungu tuache kutanguliza pesa mbele.
Nikweli kabisa tena atakuja kuwaopoa mpaka kurudi kwa yesu leomaji yenye kibandiko chao madogo yanaanzia elfu 5 eti wanayaita ya upako hadi maji ya laki.....Aliyewaroga bado anatembea uchi
MKUU dini ni moja tu hapa duniani,,,ISLAM ,,,,,mti wenye matunda mazuri ndio unapigwa mawe siku zote,, katika uislamu hakuna mambo ya kutaperiana pesa wala upuuzi mwingine, na ukileta utaperi watu SIO wajinga lazima wakuambie kweli,,Nimekuwa nikifuatilia mahubiri ya Manabii lakini kila wakihubiri wanatanguliza pesa ya kutoa sadaka au ujenzi wa Makanisa yao. Mfano pale Mwanza mwezi mmoja uliopita kuna Mhubiri alikuwa na mahubiri uwanja wa Kirumba, sharti alilolitoa ni kuwa ili uombewe kama una matatizo lazima utoe laki moja. Sisi wote tunasoma Biblia wapi pameandikwa ili upate huduma ya maombi sharti utoe pesa?. Ninyi Manabii tuogopeni Mungu tuache kutanguliza pesa mbele.
Wale ni matapeli sio viongozi wa dini wanafkiMKUU dini ni moja tu hapa duniani,,,ISLAM ,,,,,mti wenye matunda mazuri ndio unapigwa mawe siku zote,, katika uislamu hakuna mambo ya kutaperiana pesa wala upuuzi mwingine, na ukileta utaperi watu SIO wajinga lazima wakuambie kweli,,
Hayo mambo ya ugaidi ni wakristo ndio wanapanga matukio yote ktk Nchi zote duniani wakishirikiana na watu wenye majina ya kiislamu fake,,
Chief waislamu ni wavumilivu mnoo, , na wakichoka uvumilivu huwa wameruhusiwa kulipiza ila kusamehe Ni bora wameambiwa na mola wao,,, nyinyi wakristo HAMNA uvumilivu boss,,,ukitaka kujua nyi hamna uvumilivu, ,,shuhudia hapa me ntakavyoyaoga matusi ya Wakristo mkuu
48 Laws of power.Wajinga ndio waliwao! Siku hizi shida zako mtaji hasa upande wa maombezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema dini ni moja tu ndipo unapokoseaMKUU dini ni moja tu hapa duniani,,,ISLAM ,,,,,mti wenye matunda mazuri ndio unapigwa mawe siku zote,, katika uislamu hakuna mambo ya kutaperiana pesa wala upuuzi mwingine, na ukileta utaperi watu SIO wajinga lazima wakuambie kweli,,
Hayo mambo ya ugaidi ni wakristo ndio wanapanga matukio yote ktk Nchi zote duniani wakishirikiana na watu wenye majina ya kiislamu fake,,
Chief waislamu ni wavumilivu mnoo, , na wakichoka uvumilivu huwa wameruhusiwa kulipiza ila kusamehe Ni bora wameambiwa na mola wao,,, nyinyi wakristo HAMNA uvumilivu boss,,,ukitaka kujua nyi hamna uvumilivu, ,,shuhudia hapa me ntakavyoyaoga matusi ya Wakristo mkuu
KWANN mkuuUnaposema dini ni moja tu ndipo unapokosea