Nabii ni mjumbe wa Mwenyezi MUNGU. Nabii anafikisha ujumbe wa MUNGU kwa mwanadamu/ Wanadamu. MUNGU anataka nn. Hataki nini. Ama kitu kifanyike kwa namna gani.
Pia Nabii anapeleka maombi ya Wanadamu kwa MUNGU.
Wakati mwingine Nabii anasema lijalo liwe zuri au baya, kama alivyoelekezwa na MUNGU. Na sababu hasa kwanini linatokea.
Nawaomba Manabii wetu hapa Tz watuulizie kwa MUNGU.
1. Ukame,
2. hali ngumu ya maisha
3. nchi kuwa maskini licha ya rasilimali nyingi tulizonazo.