mimi jamaa nilijua labda maisha kumbe mpenzi mimi sijinyongiNimeiona dah kwa kweli inasikitisha wadada kiweni na huruma
hili limetokea majuzi tu USISOMESHE MCHUMBA PLEASE UTALIASi wote.
hili limetokea majuzi tu USISOMESHE MCHUMBA PLEASE UTALIA
Huyo atakuwa moja ya zile kabila zilizotajwa katika bible,
Mapenzi yamekuja Kama sababu tu!
Kujiua ilianza zamani ni aina flan ya pepo likikupata.
Haiingii akilini kabisa hiyo. Vitu vingine ni ujinga tu.duuuh hapo kwenye pepo kidogo panakuja ila kwa akili ya kawaida nijiue kisa kaniacha siwezi SIJUI UNAJISHUSHA THAMANI KIVIPI mpaka unaona ni mwisho wako kweli inaingia akilini hiii
mkuu umelifanya kweli? kama ni hadithi usiseme mwenzio kafariki juzi tu hata kuzikwa bado mapenzi yanahitaji umakini sanaWatu tunasomesha na tunaacha au kuachwa,
Huyo kakumbwa na pepo kipindi ana stress!
mimi nadhani watu kama hawa wanakuwa wametegemea makubwa hasa kusaidiwa kimaisha inapotokea anakataliwa anaona keshavurugwa lakini bado utamtegemeaje mwanamke akuinue kiuchumi?Haiingii akilini kabisa hiyo. Vitu vingine ni ujinga tu.