aljun raj JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 203 Reaction score 46 Mar 6, 2013 #1 kiukweli kwa kiwango walichonesha jana man utd dhidi ya madrid ninahuhakika chelsea achomoki tena tukitumia mfumo uleule wa jana, maana hata kama wametolewa mi binafsi naona walicheza vizuri tu!
kiukweli kwa kiwango walichonesha jana man utd dhidi ya madrid ninahuhakika chelsea achomoki tena tukitumia mfumo uleule wa jana, maana hata kama wametolewa mi binafsi naona walicheza vizuri tu!
chelsea fc JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 864 Reaction score 213 Mar 6, 2013 #2 msumari mwingi utaona mwenyewe mke halali na pichu!