Man United Overpaid; Di Maria Deal

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,416
Kuna hii article ya Gab Marcoti ninaiweka hapa kuonyesha Biashara za Pwagu na Pwaguzi wanazofanya Man United kwa sasa...

 
I think Di Maria's transfer to MAN U deserved that amount since he is very talented player who can change the results of the match any time. I Wish him happiest moment at Old trafford.
 
Yaani kabisa wameoverpay. Sijui kama atafika na kuendeleza moto wake au ndo apewe siku kadhaa. Pia bado wanahitajika wachezaji kama watatu hivi kama beki, kiungo angalau.
 
Yaani kabisa wameoverpay. Sijui kama atafika na kuendeleza moto wake au ndo apewe siku kadhaa. Pia bado wanahitajika wachezaji kama watatu hivi kama beki, kiungo angalau.

Hapo tunamuhitaji christiano ronaldo,bale na luca modric
 
Van Gaal alikua kwenye WC Brazil wakati ule usajili ukiwa katika hatua muhimu....kaja kujiunga na timu muda ushaenda, na alihitaji muda kuijua timu kabla ya kuingia sokoni. Matokeo mabaya uwanjani yaliishinikiza Man U kufanya manunuzi...wako kwenye panic mode....they can not afford to miss out UCL next season.....na RM walitumia nafasi hiyo vizuri sana.....wakawapiga bei....

Ukweli hela waliyotoa ni nyingi.....I feel they had a pre contract thing with Di Maria....likely they asked him to table in a transfer request, and if by chance the transfer collapsed, probably Man U should have compensated the player....

Nikiwa kama shabiki wa Man U nadhani pia impact yake itafanya wasahau bei waliyotoa......hopefully the Fellain phenomena wont recur......
 
I think Di Maria's transfer to MAN U deserved that amount since he is very talented player who can change the results of the match any time. I Wish him happiest moment at Old trafford.

mzee matokeo ya game mbili yamewapanikisha sana...hiyo price ni Inflated sana...by 20 millions pounds more
 
Acheni unaa kwani inawahusu nini ?.
 
hii man u ijiandae kabisa kuwafata fulham,middosblouh,cardif na wenzake,hii inatokana na usajiri m'bovu inaofanya sion maana ya kumleta dimaria maana sio mahitaj yake pale anatakiwa beki 3 zilizoshiba na midfielders wawili walioshiba.Mlichofanya tunakiita ni panic signing kwa hali hyo muwasalimie fullham
 
Yaliyo mkuta newcastle yatamkuta na man u
 
Tokea uanze kufundisha mpira wa miguu, timu yako imefika ngazi gani ya mashindano?

Inaonekana utatufaa sana kutatua matatizo ya Taifa Stars...

 
Hacha kuropoka ww liverpool, Arsrnal, Chelsea na Man city zilishindwa kushuka daraja Man u ndo ije ishuke subiri hadi tarehe 1 sept ndo uongee kila mchezaji kwenye timu ana kazi yake na tafuta timu mojawapo kati ya hizo apo juu ya kutoa kwenye top 4 maana wanaume wanarudi kwenye nafasi yao msimu huu
 
Wabongo bwana sijui tukoje!! hivi wewe mtoa post ulishawahi kuwa hata kocha wa timu ya mtaani kwenu!! siamin kama wewe unaweza kujua mapungufu ya klabu ya man u kuliko kocha wa timu pamoja na viongoz wa timu....acha ujuha kama wa akina shaffih dauda na mwenzeke maestro kujua mapungufu ya klabu za ulaya ilhali timu yao ya simba ikishindwa hata kuchukua kombe la shirikisho afrika....
 

mmefanya panic signing hahahahahha imekula kwenu mkawasalimie fullham
 
i thought they are out already, are they in the league?
 
nyie mnaosema man ina mabeki sasa evans ni beeki yule?
blanketi ni beki yule????
beki mzima pale ni rojo tu at least namkubali wengine wote vipara
 
Uhamisho wa paun mil 59. Sema jingine Van gaal,hata ukimtaka Ronaldo ataletwa tu cha msingi uchukue uefa.
 
Mkuu Gefu, mwaka huu Man U haitashiriki UEFA Champions League. Haipo kama ilivyo kwa AC Milan. Labda ishiriki mwakani. Hongereni lakini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…