Ferguson ana akili wewe usidhani anafanya mambo kwa kubahatisha. Amepanga vile makusudi ili atolewe asije kukutana na Man City akapigwa sita zingine (natania). Hamna timu pale, kidomo domo kwisha, jana Arsenal wameonesha mpira safi sana wakaotewa bao moja la kubahatisha mkacheka, sasa leo kubakwa na watoto wa daraja la 2 si dhalili hiyo?!
Man Sita Hoyeeeeee!!