Man u

mdindile

Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
55
Reaction score
4
Nini unafikiri ni dawa mahususi kwa chama letu Man U mpaka sasa maana du tunafulia hadi noma!?
 
mkuu moyes itambid asajili kiungo mmoja matata, na beki wa kati wa ukweli,zama za vidic,Rio,Evra zimekwisha.
 
Team inaundwa na watu wane, yaani Kipa, Beki namba 5,Kiungo Mkabaji na Mshambuliaji. Mpaka sasa hivi mimi naona Man U inahitaji Beki wa kati kama Mart Hummels wa Dortmund au Thiago Silva wa PSG, watafute Kiungo mkabaji anaeleweka, wakiweza waende Barca waongee na Alex Song. Tena kwenye Kiungo wasajili wengi. mimi sio shabiki wa Man United.
 
Nini unafikiri ni dawa mahususi kwa chama letu Man U mpaka sasa maana du tunafulia hadi noma!?

Tafuteni kocha. Tazama hivi: Moyes kaondoka everton lakini everton inabamba fresh. Moyes kaja man u lakini hakuleta effect yoyote ile. Kikosi alichopewa moyes ndio mabingwa watetezi.Sasa jiulize ubora wa kocha i wapi? Kocha sahihi kwa timu kubwa ya ushindi ni mzee wa the blues ....... yeye ushindi ni muhimu mbwembwe baadaye!
 
moyes apate japo wachezaji watatu ambao watamfaa kwa mfumo wake, ni matatizo madogomadogo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…