Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Baada ya kuonja kiti cha nafasi ya sita kwa muda,Man U imerejea kwenye kiti chake cha msimu huu cha nafasi ya saba.Hii inafuatia ushindi wa bao 1-0 wa Everton walioupata dhidi ya West Ham United.Kwa ushindi huo,Everton imefikisha alama 48 kwa michezo 27 kama ya Man U.
Wakati huo huo Chelsea imeshinda mabao 3-1 dhidi ya washika mkia wa Fulham na kuendela kukalia usukani wa ligi huku Arsenal ikipokea kipigo cha bao 1-0 toka kwa Stoke City
Shukrani!Asante kwa update mkuu
Brendan Rogers is the MAN!