Man U haitakuwemo kumi bora

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,880
Reaction score
7,527
kwa jinsi ninavyo ona man u hata top ten haitahusika maana tim imefanya usajili usio na mipango.

Tim ile ilikua na mapungufu ya ulinzi na midfield sasa wamesajili falcao na di maria kwa mihela mingi then hawana centrald defending midfilders" jambo linalofanya defnse yao iwe exposed,pia luke shaw yule ni wa kawaida sana sema the boy is overrated ule ni uchochoro dhahiri rahim sterling atakua anajipitia tu in short man u iki kaa vibaya wanashuka daraja
 

Mkuu unakunywa kinywaji gani hapo ulipo!
 
Blaza unapigwa ofa nini na mshabiki wa liver mana Hata ulichokiongea we mwenyew hukijui
 
Asubir jpil na qpr ndio atarudisha kumbukumbu zake vizur
 
Utakua umechanganyikiwa sio bure,

Tumeondoa Chicharito na Welbeck nafas yao kaziba nani? utasemaje sio usajil wa falcao sio muhimu?

Tumeondoa Luis nani, Wilfred Zaha nafas yao kaziba nani? ( Di maria)

marco rojo anacheza kama Center back, Blind atacheza kama Defensive Mid kama hujui hilo sasa umejua, Andre herrera yupo pia

kama Luke Shaw n wakawaida, huyo left back wa timu yako alikua wap last season walat Luke akichukua tuzo ya bek bora wa kushoto na kuingia kwenye dream team?
 
Hili ni tatizo la kubugia viroba bila mpango.

 

ww sio bure....kwenye ubongo wako kuna minyoo inatafuna akili zako....fanya haraka uende ukamuone daktari....
 
hahahahaha its monday sasa man u lazima ishuke daraja iende kwa fullham hahahaha
 

acha ushabiki wewe....man utd wamesaji herrera,di,maria,falcao,luke shaw,rojo na blind...
herera,di maria ni midfielders
falcao striker replacing van persie na danny welbeck
luke shaw,rojo ni defenders
blind ni defensive midfielder/centreback....

sasa hapo utasema vipi timu haijasajili defensive midfielder???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…