Bichwa hilo mwenyewe.... Sijui umekula maharage ya wapi...
Acheni kutuchosha na huyo Lara 1....
Unaweza ukakuta kidemu chenyewe kibichwa ndimu mnakishobokea au ndio genye mshindo hizo...
Drama queen hana lolote hii ndio sehemu pekee ambayo ana uwezo wa kudanganya ulimwengu..mitandao ya kujamiiana.
Were naona UNANITAKA SIO BUREE! Mtizame kwanzaaa! We si uliniita chizi wewe mbona mdomoni kwako sikukauki. Huli hunyi kiss Lara 1! Naona chizi mie nakupa pressure sana. Ulifosiwa kuingia Uzi huu? Mxiuuuuuuuuu! Mazafantaaaaa mkubwa. LEAVE MY NAME OUT OF YOUR FILTHY MOUTH IDIOTA.
Haaaa Lara 1 wewe si embe lililoiva watu wanataka kukupopoa wakufyonze, we maarufu bibie humu MMU nitaacha vipi kukutaja maana tokea juzi naona thread kibao watu Lara Lara Lara Lara
Hizo drama zako naona kuna viboro dinda wanazipigia nyeto kutwa Mara tatu
Weka picha tuone isije ikawa watu wanaanguka kumbe bibi uchu ..#merlin
Mxiuuuuuuuuuuuuu! KINACHOKUWASHA SANA KITU GANIIIII? Ushaniita CHIZI wewe na wengese wenzio tarehe 9/4/2015, nimekubali mimi chizi, ndio, tena tahiraa kabisaa, lile linalotoa maudendeee mda wote. MNANIDAIII NA UCHIZI WANGU? Hamnidai hata kumi! Naona hunywi maji yakashuka bila kumtaja huyu chizi. Chizi anakujambisha eeeeh! Lione kwanza! Baba zaima ovyoooo!
Koma ukamae kunitaja taja wala kunimention Msengerema mkubwa wewe, kama unawashwa sema nikutafutie mtu akushugulikie.
Kumbe ndio maana watu wanakupenda Lara 1 we umkopeshi mtu unamchana live na bado viboro dinda wanakuchumbia humu humu...hongera Bibi uchu..
Mmmmmmmmh! Interesting! I might (MIGHT IS NOT EQUAL TO NOT) not be 30, but my mind can qualify a 40 years old! But since i dont enjoy di.ck competition how about i let charming lady have you. She can consider it a PRO BONO WIN!
Unawakumbuka wale wengese wenzio 24na wewe wa 25 mlioniita chizi 9/4/2015 kwenye ule uzi wa yule mngese mwenzenu wa kike? Wale wale ndo uwapelekee ungese wako watakusaidia. Na watumie salamu waambi CHIZI MIE NIMEZIDIWA SANAA, NIMEKUWA CHRONIC, HATA MILEMBE WAMENIKATAAA, INDIA KWENYE WAMEGOMA KUNIPOKEA, KAMA NI UCHIZI WA KUROGEZEWA NIMEROGWA TENA MARA YA PILI JUU YA ULE UCHIZI WA MARA YA KWANZA! Yaani sahivi uchizi umechanganyikana na utahira humo huo ndani ongeza bangi mbichi. Nina wajua wote 25 kwa ID hata nikiwa nimelala na yeyote atakeingia kwenye anga zangu namtandika virungu tu! Yaaani asije shoboka mtu lara 1 nyoko nyoko ndo ataponitambua. HABARI NDO HIYO. SITAKI KABISAAA UNAFIKI. Na wangese wanaojitia kuniomba mshamaha PM waambie WANIKOME! Hapa ni vita mwanzo mwisho ndo washanyea kambi ya Lara 1 ata watup pm 500,000 we will neve be cool, never ever to infinity and beyond!:boxing:
wasalam
Chizi, Mental case, Taahira, Teja, ET AL1
Wewe unatia kinyaa, jina lipo kwenye heading bado unakosea kuliandika.
Unajidhihirisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Nimepewa ultmatum na ndugu zangu nitafute mke... Kwa vile shughuli za kiofisi zinanikeep locked nimeona njia rahisi by hooks and crooks ni kumnasa Lara 1 au Charming lady. Maisha ya sasa hayahitaji mtoto 'decent', Mnaweza lala njaa! Angalau mtoto awe mcharuko flan a.k.a mchakarikaji. Sio unaoa mwanamke ambaye hata hawezi kuingiza namba za luku kwenye mita mpaka wewe uje uweke alafu unasema umepata mke mwema!
Sasa wadau atakayefanikisha zoezi la kumnasa 'kibibi' mmoja wapo (coz I believe they are above 30), atapata zawadi nono! Me nadhani nikimnasa kibibi hakuna ubaya, hapo mamiss wote hawataniona mbaya!
Inawezekana. Unajua ukishakua na sabuni ya roho bwana halafu ukagundua kabinti kanaitaka hiyo soap kwa udi na uvumba, hata ukikatusi kanakubali tu bora liende. charminglady mpaka sasa hajatia pua yake hapa!:becky:hahaha nilijua tu ameshaharibu kuwaita vibibi unamtongoza mtu huku unamkandia kimtimdo sijaonaga