T Tiger JF-Expert Member Joined Nov 30, 2007 Posts 1,747 Reaction score 387 Sep 15, 2012 #1 Kumekuwa na baadhi ya bodaboda zinaliza alarm(ving'ora/ving'ola) kama vile vya polisi au ambulance, hivi swala hili ni sawa? Kama si sawa mamlaka zinazohusika zinasemaje? Nawasilisha.
Kumekuwa na baadhi ya bodaboda zinaliza alarm(ving'ora/ving'ola) kama vile vya polisi au ambulance, hivi swala hili ni sawa? Kama si sawa mamlaka zinazohusika zinasemaje? Nawasilisha.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 15, 2012 #2 hongera sana hata mimi nakerwa sana na hivyo ving'ora na havipaswi kupigwa bila sababu maalum mamlaka zichukue hatua stahiki sasa
hongera sana hata mimi nakerwa sana na hivyo ving'ora na havipaswi kupigwa bila sababu maalum mamlaka zichukue hatua stahiki sasa
T Tiger JF-Expert Member Joined Nov 30, 2007 Posts 1,747 Reaction score 387 Sep 15, 2012 Thread starter #3 mshana jr said: hongera sana hata mimi nakerwa sana na hivyo ving'ora na havipaswi kupigwa bila sababu maalum mamlaka zichukue hatua stahiki sasa Click to expand... Labda kama jambo hilo linaruhusiwa ila vinginevyo haya mambo sasa yanavuka mipaka. Tena naona kama watu waidhihaki dola.
mshana jr said: hongera sana hata mimi nakerwa sana na hivyo ving'ora na havipaswi kupigwa bila sababu maalum mamlaka zichukue hatua stahiki sasa Click to expand... Labda kama jambo hilo linaruhusiwa ila vinginevyo haya mambo sasa yanavuka mipaka. Tena naona kama watu waidhihaki dola.
T Tiger JF-Expert Member Joined Nov 30, 2007 Posts 1,747 Reaction score 387 Sep 18, 2012 Thread starter #4 Wahusika mko wapi?