Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,491
- 15,748
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa. Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze kuuandaa mashamba na kulima mazao mbalimbali. Tofauti na nchi zingine TMA wamekuwa wakitoa utabiri wa miezi mingi mbele na kuzua taharuki kitu ambacho mie naona siyo sawa maana hali ya hewa inabadirika ndani ya muda mfupi sana mathalani saa Moja. TMA wajitahidi kutoa utabiri wa Kila saa ili kuondoa sitofahamu ya kijaa juu ya taarifa zao. Utasikia mwaka huu hakutakuwa na mvua so wananchi walime mazao yanayoweza kuvumilia ukame mwezi mmoja mbele utasikia mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sana hivyo walio mabondeni wahame.
Wamesema juzi ila hapo nyuma walisema ukame utakuwa wa kutishawalisema kutakua na mvua 'kubwa' siku za weekend
subiri nifufue ule uzi
Wamesema juzi ila hapo nyuma walisema ukame utakuwa wa kutisha
Kanda ya magharibi si nchi nzimawalisema kutakua na mvua 'kubwa' siku za weekend
subiri nifufue ule uzi
??Kanda ya magharibi
Waambie waende kwa waganga wapigiwe ramli kuliko vifaa vyao uchwara, kila siku kudanganya watuMamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa.
Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze kuuandaa mashamba na kulima mazao mbalimbali. Tofauti na nchi zingine TMA wamekuwa wakitoa utabiri wa miezi mingi mbele na kuzua taharuki kitu ambacho mie naona siyo sawa maana hali ya hewa inabadirika ndani ya muda mfupi sana mathalani saa Moja.
TMA wajitahidi kutoa utabiri wa Kila saa ili kuondoa sitofahamu ya kijaa juu ya taarifa zao. Utasikia mwaka huu hakutakuwa na mvua so wananchi walime mazao yanayoweza kuvumilia ukame mwezi mmoja mbele utasikia mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sana hivyo walio mabondeni wahame.
Walisema mvua zitakwepo wikiend Kanda ya magharibi si nchi nzima
Miundombinu duniMamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa.