mamlaka ya maji masasi

mkuu unazungumzia MANAWASA au? nakumbuka nilitumaga application mwezi wa tisa mi nadhan watu washakula ata salary kwan bado awakuwai kuita au ni ip unazungumzia?
 
mimi nildhan nilikosa maana nimda mwingi nilituma,ngoja kama kuna mwenye uhakika atatusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…